kwamamaza 7

USA: Rais Kagame anasuburiwa kwenye mazungumzo katika chuo kikuu cha Harvard

0

Inatarajiwa kuwa rais wa jamhuri ya Rwanda, Paul Kagame kuzungumzia katika kikao cha maendeleo  kimataifa cha chuo kikuu cha Harvard, wiki hii huko Marekani.

Kama vila husema uongozi wa chuo hicho, rais wa jamhuri wa Rwanda Kagame, atatoa maongezi tarehe 10 Mach 2017, watashiriki wanafunzi, waalimu na wajuzi kutoka ngazi tofauti.

Maongezi yataongozwa na Lant Pritchett, akiwa tena mwalimu anaye husika na mipango ya maendeleo ya kimataifa.

Watazungumzia jinsi teknolojia na uongozi vilisukuma nchi nyingi kufikia maisha mema ya raia na nchi zingine zikabaki nyuma kimaendeleo.

Rasi Paul Kagame atatoa mafikara ili nchi zilizobaki nyuma kimaendeleo zifikie ngazi kama nchi zilizo endelea. Mwaka wa 2016 rais Kagame alikuwa tena kwenye maongezi katika chuo kikuu cha Harvard.

Kiongozi wa nchi alisema ya kuwa kwa ujumla maendeleo ni kubadilisha mafikara kuliko mipango ya serikali na misaada.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Chuo kikuu cha Harvard husema ya kuwa walimualika rais Kagame kama mtu aliye ongoza mapambano makali ya vita na kushimamisha mauaji ya Kimbari dhidi ya watusi na kuhamasisha uongozi wa amani, umoja na uwasiliano, maendeleo ya wanawake, haki za binadamu, elimu kwa ajili ya wote na teknolojia.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.