kwamamaza 7

USA: Rais Kagame amehamasisha urafiki hodari kati ya Rwanda na Israel

0

Tarehe 26 Mach 2017 rais Kagame alishiriki mkutano kuhusu ushirikiana kati ya Israel na Marekani (AIPAC Policy Conference), na akarudilia mambo Israel na Rwanda wamefikia kwa sababu ya ushirikiano mwema.

Neno lake katika mkutano, rais wa jamhuri alisema ya kwamba Rwanda na Israel ni rafiki bora na inahamasishwa na historia mbaya ya mauaji ya Kimbari yaliyo pata nchi hizo mbili.

Rais Kagame anahakikisha ya kuwa ushirikiano wa hizi nchi utadumu , kwani waliweza kujisamini, kujijenga na kuandaa siku ya usoni.

Eti “ Kwa kuwa nchi zetu zimekombolewa, kujijenga upya,, huhamasisha ya kwamba hata mtu akipatwa na tatizo kubwa, anaweza tumia hakili na kujisamini akijenda siku za usoni”.

Alihamakia itikadi ya wale wanaosema ya kuwa mauaji na kufanya mauaji ya Kimabri kuwa dalili ya ushujaa na kupenda nchi kama vile husema imvahonshya.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Rais Paul Kagame alisema ya kwamba nchi nyingi za bara la Afrika kafaidika kwa sababu ya ushirikiano na Israel.

Eti “Kwa ngambo ya Rwanda na nchi  nyingi za Afrika, kupitia ushirikiano na Israel milango mipya ilifunguliwa, tunatamani kufanya mengi, tunafurahia jinsi Israel ilitia ngufu katika ushirikiano na Afrika”.

Mkutano huo uliandaliwa na jamii AIPAC, wakiwa na lengo la kuzua ushirikiano kati ya Israel na Marekeni, ikiwa kubwa kuliko inayo kutanisha viongozi wa nchi na wengine wa ngazi tofauti, hivi washiriki katika mkutano ni karibu 15.000

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.