kwamamaza 7

Upya wa teknolojia kwa kulinda usalama barabarani

0

Disemba mwaka nenda ndipo polisi ya Rwanda kaonyesha hali ya juu ya kuunganisha huduma zote za polisi zinazo husiana na kuazibu pia kuchunguza isipo kua kwa kuandika na mkono kama ilivyo kuwa kawaida.

Hand Held Terminal(HHT) ni aina ya kuazibu makosa ya barabarani ila bila malipo ya pesa mkononi, hutumia visa card, aina ya Automated Number Plate Recognition(ANPR) hapo ni kama computer ndani ya gari na huchunguza kwa haraka makosa ya gari lingini.

Msemaji wa polisi, CIP Emmanuel Kabanda anasema kuwa aina hii ya malipo ya azabu inawasumbuwa wengi huduma zao iwe HHT ao ANPR ni hali pana ya teknolojia  (Information Management System) na Polisi husema kuwa itachukuwa karibu huduma zote ambazo zilikuwa zikifanywa kwa mkono.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Kulipa kupitia benki, unatumia ukarasa wa Irembo, unabonyeza *909#, unachaguwa lugha halisi, unafika 14 na hapo unatia namba za azibio lako. Hapo hakuna atakaye baki na vitambulisho vya mwendesha gari, hapana kutembea na pesa.

ANPR ayo hujulisha kama gari hutafutishwa kupitia makosa fulani kwa haraka sana, hata makosa aliyoyafanya.

Kwa aina hii hata mwenyi gari huandikwa kwa hali ya teknolojia ili atiwe kwene orodha ya wenye watachunguziwa gari zao na atakuwa akipewa ujumbe kumukumbusha hayo.

Teknolojia hii itabidi uhusiano wa huduma kati ya polisi ya Rwanda na watoza kodi (RRA) na wahusika na vitambulisho ili kuchunguza yafanyikayo barabarani.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.