kwamamaza 7

UNHCR yawataka Serikali ya Rwanda na Wakimbizi kuleta utulivu katika kambi ya Kiziba

0

Shilika la Kimataifa la Kuwahudhumia wakimbizi(UNHCR) limewataka viongozi wa Serikali ya Rwanda na wakimbizi kwa ujumla kuleta utulivu katika kambi ya Kiziba.Hili ni baada ya kifo cha mkimbizi juma tatu.

Kupitia Twitter,hili shilika limesema chanzo cha msiba huu  hakiajaeleweka vizuri lakini inaeleweka kuwa malehemu alikufa alipokuwa Hospitali ya Kibuye baada ya kundi la vijana kupambana na polisi.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Pia, UNHCR imeiunga mkono familia ya malehemu na kulitaka jeshi la Polisi la Rwanda kujilinda  mizozano na kutatua masuala yote kwa utulivu.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Wakimbizi asili ya DR Congo walianza maaandamano mwezi wa Februari wakisema wanaishi hali mbaya baada ya gawanyiko la chakula.Hili lilisababisha vifo vya watu kumi na mmoja.

Kwa hili,UNHCR inawataka wasaidizi kuziba pengo.Kunahitajika $miliyoni 98.8 kusoaidia wakimbizi nchini Rwanda ila asilimia 87 zake hazijapatikana.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Kambi ya walkimbizi ya Kiziba,magharibi mwa Rwanda inawahudhumu wakimbizi 17,000 tangu mwaka 1996.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

click here to receive the updated news on facebook on twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

[xyz-ihs snippet=”google”]

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.