kwamamaza 7

UNHCR kufanyia uchunguzi wa kimbizi asili ya DR Congo kabla ya kurudi nyumbani

0

Shilika la Kimataifa la Kuwahudhumia Wakimbizi(UNHCR) nchini Rwanda limetangaza kuwa litawafanyia uchunguzi wakimbizi asili ya DR Congo kabla ya kurudi nyumbani kwao kwa nia.

UNHCR kupitia ujumbe mfupi imeeleza imeanzisha kundi litakalotekeleza jambo hili

Afisa wa Wizara ya Majanga Kuwahudhumiwa Wakimbizi nchini (MIDIMAR), Jean Claude Rwahama amesema jambo hili ni haki ya wakimbizi kurudi kwao

“ Ni jambo la kawaida,ni haki yao kurudi nyumbani na kazi yetu ni kuwajulisha hali ya usalama nchini kwao”amesema

Rwahama  amesisitiza uamuzio wao hauna uhusiano wowote na maandamano yaliyotokea katika kambi ya Kiziba siku zilizopita ambako wakimbizi 11 waliaga dunia.

Kambi ya Kiziba,magharibi mwa nchi,inawahudhumia wakimbizi asili ya DR Congo 17,000 tangu mwaka 1996.

Subscribe to BWIZA TV to get news and song update

click here to receive the updated news on facebook on twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.