kwamamaza 7

Unapojua mpango wa makosa utazuia – CP Emmanuel Butera

0

Kamishina katika vitendo vya polisi na utilivu, Commissioner of Police (CP) Emmanuel Butera aliambia kamati ya kuzingatia usalama wa wilaya ya Rwanagana ya kuwa kuchunguza taarifa walio pewa na kuwafikishia wahusika ni muhimu kwa kuzuia makosa.

Alisema hao wakati wa maongezi na wenyeji 82 wa kata ya Nzige tarehe 15 Mwezi huu, eti”unazuia makosa wakati umejua mpango wa makosa. Kama unaona kitu kinyume na sheria, chunguza kwanza na ujulishe ngazi zinazo husika ili kuzuia mapema”.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Aliwaomba kuwasiliana na ngazi tofauti wakifundisha wakaaji kupinga dawa za kulevya, usafirishaji na biashara haramu ya dawa za kulevya.

CP Butera eti ”kuna wanaofikiri wakitumia dawa za kulevya wanasahau matatizo. Ni lazima kuacha misemi hio na kuwaambia wanaovuta dawa za kulevya ya kuwa huwaongezea matatizo, mukiwambiwa ya kuwa matukio ni magonjwa tofauti pakiwemo mafua, ugomvi, kubaka na kuzini na watoto”.

Huo kamishina aliomba kamati inayo husika na kuzingatia usalama katika wilaya ya Rwamagana kuwa pamoja na ngazi zingine, kupiganisha mateso ya jinsia yanafofanyika nyumbani na yanafanyiwa watoto.

CP Butera aliwaambia ya kwamba mabishano na matata ndani ya jamii inasukuma watoto kukimbia nyumba zao, wengine wanaacha kwenda shule, wengine barabarani wakifanya wizi na dawa za kulevya, kwa hayo anawaomba kuishi amani na kusikilizana, na utulivu kati yao.

Mpaka sasa wilaya hio ya Rwamagana wanao unda kamati ya kuzingatia usalama ni 2370.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.