kwamamaza 7

UN yaijulisha Rwanda “Wanamgambo watashambulia kutoka DR Congo”

0

Kiongozi wa Misheni ya Umoja wa Mataifa (YUNA) nchini DR Congo, Leila Zerrougui ametangaza alijulisha Rwanda kwamba kuna mpango wa wanamgambo kushanmbulia nchi hii.

Kuna taarifa kwamba FDLR, wanamgambo kutoka Rwanda kwa kuungana mkono na aliyekuwa Jenerali katika jeshi la Rwanda, Kayumba nyamwasa ndio wenye mpango wa kushambulia Rwanda.

Kwa hiyo, Leila Zerrougui amevitaka vijosi vya YUNA kusaidia kupitia barua ameandika kwa kusema  kujadiliana vilivyo na hawa wanamgambo wanaopanga shuguli zao karibu na mpaka wa Rwanda.

Kiongozi wa Misheni za YUNA nchini DR Congo, Leila Zerrougui

Kwa mujibu wa taarifa za Actualite cd, Wanamgambo wa FDLR waliokuwa mashiriki kaskazini mwa DR Congo wamejiunga na jeshi la Kayumba Nyamwasa.

[penci_related_posts taxonomies=”undefined” title=”Habari nyingine” background=”” border=”” thumbright=”no” number=”4″ style=”list” align=”none” displayby=”recent_posts” orderby=”random”]

Hata hivyo, Kayumba Nyamwasa alikanusha madai kwamba kuna jeshi lake nchini DR Congo.

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.