kwamamaza 7

UN inasikitishwa na Rais Nkurunziza anaye tarajiya kuwania tena uchaguzi wa 2020

0

Antonio Guterres, katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa UN, alirudiriya mhula wa inne wa rais Nkurunziza kwa kuwa utaweza kuzua tatizo kubwa kwa ajili ya Burundi mwaka ya 2020.

Katika ripoti ya UN, Antonio Guterres alisema ya kuwa wapo na wasiwasi kupitia mambo rais Nkurunziza aliyo yatangaza kwa kuwa yupo na mpango wa kuwaniya na kutawala tena mwaka wa 2020, mwanzo itakuwa kubali katiba ya serikali ya Burundi.

Alipo toa ripoti hio katika wahusika wa amani katika UN, aliwajulisha ya kama rais Nkurunziza akiwania urais mambo yatakuwa mabaza zaidi na mambo ya mazungumzo kwa ajili ya kurejesha amani Burundi pamoja na wapinza yatazoofika.

Kiongozi huo alirudilia tena maamzi ya serikali ya Burundi ya kukataa kuwapokea askari  kutoka mahali pengine kwa ajili ya kulinda amani wakati mauaji yalizuka hadi sasa na huweza kuzua mauaji ya Kimbari.

Albert Shingiro, mwakilishi wa Burundi katika umoja wa mataifa UN amesema ya kuwa alishangazwa na yale aliyo yatangaza Antonio Guterres na kusema ya kuwa hata kuwa kuna wakuu wa nchi ambao huwania utawaza zaidi ya inne hata tano pia 6 na hakuna anaye washota kidole.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.