Ripoti iliyo tolewa na kikao cha umoja wa mataifa (Bureau conjoint de l’ONU) husema ya kuwa ngazi za usalama za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo zimewaua raia 40 na kuwajeruhi 147.

Ripoto katiwa hazarani tarehe 1 Mach 2017 na husema ya kuwa mauaji hayo yalifanyika kati tarehe 15 na 31 Disemba 2016 wakati wa maandamano mjini Kinshasa, Lubumbashi, Boma na Matadi.

Ripoti husema pia kwamba ijapokuwa wale walio uawa na kujeruhiwa, katika nchi watu 917 pakiwemo watoto 95 walitiwa mbaroni na ngazi za usalama za Congo kama vile husema RFI.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Umoja wa mataifa husema pia washuhuda wanasema ya kuwa wana jeshi wa Serikali walikuwa wakiwaua waliojeruhiwa na masasi.

UN inasikitishwa na kuwa hadi sasa hakuna lolote ambalo serikali ya Congo ifanyalao kwa ajili ya upelelezi na kuweka mahakamani walio husika na mauaji hayo.

Waziri anaye husika na haki za binadamu katika DRC, Marie-Ange Mushobekwa, yeye hakubali mambo ya ripoti hiyo, yeye huwashutumu wapinzani wa srikali kuwa chanzo cha hayo yote na kuwashota kidole walio fanya maandamano walio muua askari polisi tarehe 20 Disemba 2016.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.