kwamamaza 7

Umeme wa angani waua watu wanne magharibi mwa Rwanda

0

Umeme wa angani jana umeua watu wanne wilayani Rutsiro na Karongi, magharibi mwa Rwanda.

Waliofariki ni kwa ajili ya mvua kali iliyonyesha jana nchini kote.

Malehemu ni mtoto wa Shule la Msingi, Samuel Uwihanganye na Edouard Nsabimana, 22.

Kwa ujumla, wote wamepigwa na umeme wa angani majira ya usiku.

Takwimu zinaonyesha kwamba watu 31 waliuawa kutokana na umeme wa angani nchini Rwanda.

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.