[ad id=”72″]

« Kwa jina la serikali ya Rwanda, kwa familia yangu, na kwangu binafsi , nawatakiwa watu wote wa kike na kiume wa jeshi la Rwanda na ngazi za usalama chrismas njema na mwaka mwema wa 20117. Pia nawashukuru kwa kazi ambao mulifanya kwa kulinda raia kwa mwaka huu ambao hupita. Vitendo vyenu na mila yenu ilifaa sana na ilionekana kwa hali tofauti katika nchi yetu kwa hali ya kuishi, uchumi na kazalika ».

3Katika mwaka wa 2016 mulifanya kazi ngumu kwa raia wa Rwanda, kazi yenu na ujuzi vilisaidia kwa kujenga nchi na kwa ujumla katika kontinenti yote ila pole pole ndio mwendo na mulisaidia kwa kujenga matumaini wakati ililazimishwa, ofisa waume na wake. Tunaukaribia mwaka mpya kwa kazi ya raia ya Rwanda, ni kwetu kuketi na kuwazia tuliyoyapoteza na kuyafikia kwa mwaka huu na nini ya kusahihisha.

[ad id=”72″]

Yale ambayo tunachunguza kando ya ulimwenguni na yote tulio funzwa kwa yalio pita yatukumbusha kwamba sherti wanajeshi hata ngazi ya usalama kuwa makini na kujipanga sawasawa kwa kila muda na kuwa tayari kwa kujibu kwa kila jambo nyumbani kama vile kimataifa kwa niaba ya kuleta usalama na amani.

1435357057a6

Mubaki wenye haki na watiifu, wanaopenda nchi wenye kazi na wenye nguvu kama jeshi ,wenye nguvu na kulinda usalama wa Rwanda na ninaamini ya kwamba utumwani mutafanya munavyo pashwa kuvifanya. Mukumbuke kwamba watu wote huwatazamia kama wenye kuwa na mkataba wa kuwalinda kwa umoja.

4Nawatakiya wote pamoja na familia zenu chrismas njema na mwaka mwema wa malimbuko wa mwaka mpya.

Mungu awabariki

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[ad id=”72″]

Leki@bwiza.com

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.