Home HABARI Ujerumani:Utafiti  wa fuvu za Wanyarawanda na Wanafrika mashariki wengine waanza.
HABARI - KIMATAIFA - October 6, 2017

Ujerumani:Utafiti  wa fuvu za Wanyarawanda na Wanafrika mashariki wengine waanza.

Serikali ya Ujerumani imetengaza kuanzisha utafiti utakaodumu miaka miwili kwa fuvu 1,000 za binadamu ambazo nyingi zilitoka Rwanda wakati wa ukoloni na kupelekwa ujerumani ili kufanyiwa utafiti wa kikabila.

Kiongozi wa Prussian Cultural Heritage Foundation,Hermann Parzinger ameleza kuwa wanataka kujua asili ya fuvu hizi na kuwa wataongea na nchi asili yake namna ya kujadili na jambo hili.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Mkurugenzi wa utafiti huu,Bernard Heeb ametangaza kwamba tangu mwaka 2011 walikuwa wakitayarisha fuvu hizi.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Baadhi ya fuvu hizi kuna 41 kutoka Tanzania, 4 kutoka Burundi na 54 kutoka Afrika mashariki.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Kwa upande wa Rwanda,barozi wake Igor Cesar ameleza kuwa hawakujua kwamba kuna fuvu za wanadamu nchini Ujerumani kuanzia mwaka 2016.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Kwa mujibu wa taarifa za The East African,fuvu hizi zilipelekwa Ujerumani na mwanaanthropolojia,Felix Von Loschan mwaka 19070-8.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Haya ni baada ya miaka michache Ujerumani kurudisha fuvu 20 za raia wa Namibia waliouawa wakati wa ukoloni.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.