kwamamaza 7

Ujermani:Rais Kagame ameonyesha upungufu wa vifo vya watoto

0

Rais Kagame amekumbusha usamini wa kuzingatia afya ya watoto na wanawake kupitia uwezo fulani ambao upo.

Kupitia maongezi katika mkutano kimataifa ambao hufanyika Ujermani kuhusu usalama, alifafanua ya kuwa pesa ni muhimu kwa ajili ya kutatua shida la afya, sherti utumiaji uwe mwema bila kujali tatizo lolote.

Mkutano huo una lengo la kusaidia na kuzingatia shida la wakimbizi ambalo husumbua bara la Afrika, na wengi wakitamani kukimbilia nchi za Ulaya, na wengi wanarahisishiwa kupata maisha mema kama vile husema kiongozi mwakilishi wa GIZ/ GMBHF.

Waziri wa uhusiano na mataifa, Louise Mushikiwabo mwenye kuwa katika mkutano huo ambao hupitika mjini Munich Ujermani, kuhusu swala la usalama (MSC: Munich Security Conference) yupo kati wenye kuongoza maongezi kuhusu swala la wakimbizi na kusaidiana kwa ajili ya uchumi.

kagame1

Maongezi kwa kupiganisha ukimbizi yaliandaliwa na kituo cha biashara kati ya Ujermani na Afrika, waziri Mushikiwabo siku ya kufungua mkutano hapo Munich kwa ajili ya usalama, alisema kwa ajili ya kutatua haraka shida la wakimbizi kupita uhusiano mwema wa nchi kwa ajili ya uchumi.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Mara ya kwanza mkutano huo ulifanyika mwaka wa 1963 mjini Munich na walishiriki viongozi wa jeshi wa jamii ya kusaidia ijulikanayo kwa jina la NATO.

Kundi la wenye kuwa katika maongezi hayo liliongozwa na Prof. Gabriel Felbermayr, kiongozi wa kituo “Ifo Center for International Economics”, Mushikiwabo, Mshauri wa mfalme wa Moroko, André Azoulay na wengine.

Hii moja ni mkutano maalum ulimwenguni unaozungumzia siasa, usalama na uhusiano wa kimataifa na mtazamo ukiwa kutia ngufu kuhusu haki za binadamu na kupiganisha ughaidi.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.