kwamamaza 7

Uhusiano mwema kati ya Rwanda na Ufaransa wayoyoma

0

Waziri wa uhusiano na mataifa Louise Mushikiwabo aliwaambia watangazaji habaku kuwa Rwanda ilifanya yawezekanayo ili iwe na uhusiano mwema bali Ufaransa haukupenda uhusiano mwema.

louise1

Waziri Louise Mushikiwabo alifasiriya watangazaji habari jana tarehe 10 Novemba kwamba uhusiano na Ufaransa si mwemba kwani wamechoshwa na mambo ya wafaransa kwa sababu Ufaransa haukupenda kuwe ushirikiano mwema.

Mushikiwabo Louise eti “haiko siri Ufaransa iliwasaidia serikali iliyo waua watusi zaidi ya miliyoni, Ufaransa ilitoa mazoezi kwa wale waliofanya mauaji, utafiti ulifanywa, Ufaransa ilifanya mambo mabaya kwa njia tofauti” ilifika muda Rwanda kama nchi wakaamua kua vitendo vya kikazi vya Ufaransa havikubaliwi nchini Rwanda.

louise2

Serkali ya Rwanda imetoa orodha ya wanajeshi wa hali ya juu wa Ufaransa waliohusika na mauaji ya kimbari munamo mwaka wa 1994, na pia watatangaza wanasiasa waliohusika na mauaji hayo ya kimbari zidi ya watusi.

Zaidi ya hayo Ufaransa waendelea na kuchokoza hali ya Rwanda wakisema kwamba Rwanda ilihusika na kuilipua ndege ya aliyekua rais wa Rwanda wakati wa mauaji.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.