kwamamaza 7

Uhindi:Mwanamume aponea chupuchupu baada ya kuangukiwa na mlango wa ndege iliyokuwa angani

0

Mwanamume ambaye alikuwa akipaka paa la nyumba rangi aliponea chupuchupu baada ya mlango wa ndege wenye kilo 20 iliyokuwa angani kuanguka mjini Hderabad.

Polisi aliiambia BBC kuwa ndege hiyo ya kubeba abiria wanne ambayo ni ya kutoa mafunzo  ilikuwa ikiruka chini chini.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Aliongeza kuwa rubani na mwanafunzi wake wako salama na uchunguzi umeanza kubaini ni vipi kisa hicho kilitokea.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Insepkta wa Polisi Karan Kumar Singh alisema kuwa ni kawaida kuona ndege zikiruka chini chini eneo hilo.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Rubani na mwanafuzi wake waliponea mwezi Septemba wakati ndege kama hiyo ilipoanguka katika eneo hio.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.