kwamamaza 7

Uhalifu wapunguzika 12% kulingana na mwaka ulipita

0

Takwimu zilitolewa na polisi ya Rwanda jana, zinaonyesha kwamba uhalifu kwa ujumla umepunguzika nchini kote, na idadi ya kesi zilisajiliwa wapunguzika kwa kiwango cha 12% kulingana na mwaka uliopita.

Kulingana na ripoti kuhusu usalama ilitolewa na polisi ya Rwanda, dhambi zilipunguzuka zaidi ni kutumia dawa za kulevya, mashambulizi kali na ukatili wa nyumbani.

Kiongozi wa polisi ya Rwanda IGP Emmanuel K. Gasana alisema katika tukio hilo kwamba hali ya usalama nchini Rwanda imeboreka kwa sababu ya ushirikiano mwema wa polisi na uandishi wa habari wa kufundisha umuhimu wa kupambana na kujikinga uhalifu kwa kupeana habari.

[ad id=”72″]

“Tunaamini kwamba msemo unaosema kwamba habari ni nguvu na kutumia habari inatoa nguvu. kuwepo kwenu leo ni ushirikiano mwema wa polisi na wandishi wa habari wa kuhakikisha usalama.” IGP alisema.

Kuhusu dawa za kulevya, takwimu huonyesha kwamba huchukua 29.93%  yaani kesi 2,964 ambazo zilipunguzika kutoka kiwango cha 3,072 mwaka jana.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.