kwamamaza 7

Uganda:Waziri wa afya ajificha sura hospitalini,watumishi wakamuomba rushwa kwa huduma

0

Waziri wa afya nchini Uganda,Sarah Opendi kwa kujificha sura na kujifanya yu mgonjwa kwenye hospitali ya Kampala,watumishi wawili wamemuomba rushwa ili apate huduma.

Waziri wa afya,Sarah Opendi akiwa hospitalini

Waziri huyu amekubali kulipa fedha kisha akawaita askari polisi ili kuwakamata madaktari wawili waliopokea rushwa hiyo.

Pia lililowashangaza wengi namna ambavyo Sarah Opendi amekuenda kwenye hospitali kwa kutumia skuta na kujifunika gubi gubi.

Waziri Sarah Opendi kwenye skuta akielekea hospitali

Raia wa Uganda wengi hutoa rushwa ili kuonana na daktari” ameleza Waziri  Sarah Opendi.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Kitendo hiki cha waziri Sarah kimetokea baada ya wakazi wengi kupitia mitandao ya kijamii kulalamikia huduma za baadhi ya hosipitali zinazotoa huduma kwa rushwa.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Nchi ya Uganda ingali baadhi ya nchi zenye kiwango cha juu cha rushwa kwani inajitokeza kwenye nafasi ya 151 kati ya nchi 176.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.