kwamamaza 7

Uganda:Wapinzani waeleza mkakati mpya wa kupambana na mabadiliko ya umri wa rais

0

Wabunge wapinzani wa jambo la kubadilisha katiba ya nchi hasa kifungu cha 102 husika na umri wa mgombea wa uchaguzi wa rais wameleza kuwa wana mpango mpya wa kupambana na wabunge watetezi.

Baadhi ya wabunge wakiondoka mahakamani

Wabunge hawa wametangaza kwamba mkakati wao mpya ni kupiga kelele mahakamani ili kuzuia kuendelea kwa kesi yao.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Haya ni baada ya polisi kuwakamata wabunge 25 juma tano iliyopita juu ya kuzusha ghasia guruguru bungeni na kwa hiyo itabidi kusubiri wahukumiwe ili mradi wa kubadilisha kifungu kile uendelee.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Mbunge Fred Mukassa Mbidde ametangazia Bukkedde kwamba alilolifanya spika wa bunge,Rebecca Kadaga alipowafukuza bungeni ni kinyume na kifungu ya 67 sehemu yake ya nne.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Kwa upande mwingine,mseamji wa serikali,Dkt Chris Baryomunsi ameleza kwamba yaliyotokea yalifuata sheria husika na nidhamu ya wabunge.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.