Wanyarwanda wanaoishi nchini Uganda wanaendelea mpango wa kukusanya fedha za kumaliza kazi za ujenzi wa kumbusho la mauaji ya kimbali dhidi ya Tutsi 1994 wilayani Mpigi.

Balozi wa Rwanda nchini Uganda,Majoro Jenerali Frank Mugambage ametangaza kuwa jambo hili ni la kuendelea kufikiria waliouawa wakati wa mauaji ya kimbali

Balozi Mugambage alieleza kumbusho hili itakuwa kama shule la mafunzo ya kupambana na itikadi ya mauaji ya kimbali na upuuzaji wake.

[xyz-ihs snippet=”google”]

“Mauaji ya kimbali hayatokei kwa ghafla,ni kitendo kinachoandaliwa.Mauaji ya kimbali mwaka 1994 yalitokea baada ya matukio ya mwaka 1959,1963 na 1973” ameeleza Mugambage

Inatarajiwa kuwa kumbusho hili litakuwa na bei sawa na Shilingi biliyoni 3.7

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

click here to receive the updated news on facebook on twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

[xyz-ihs snippet=”google”]

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.