kwamamaza 7

Uganda:Wanafunzi asili ya Rwanda naya Uganda wapambana juu ya taarifa za vita baridi kati ya nchi hizi

0

Wanafunzi wa shule la sekandari Muntuyera wenye uraia wa Rwanda na wa uraia wa Uganda walipambana wiki iliyopita kisha 81 wao wakafukuzwa juu ya taarifa za kuwa kuna vita baridi kati ya Rwanda na Uganda .

Uongozi wa shule wametengaza kuwa hawa wamepigana makofi na  fimbo juu ya taarifa za chimpreports husika na vita baridi kati ya Rwanda na Uganda zilizotangazwa siku mbili kabla.

Waliopigana ni Wanyarwanda wakiungwa mkono na wengine wa Kabila la Wahima wametumia fimbo na kuingia bwenini ili kupiga kabila nyingine ya Waganda.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Mkurugenzi makamu kwa wajibu wa amasomo,Stephen ametangazia Chimpreports kuwa wanafunzi wa kidato cha nne walipiga wenzao wa kidato cha tano na kuwa baadhi yao wamejeruhiwa.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Huyu amendelea kwa kusema kwamba hawa walitafuta mbinu za kujilipisa kisasi polisi ikaja kutatua swala hili na kuwa uongozi umeamua kuwafukuza wanafunzi 81.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Taarifa hizi zinasema kuwa shule hili  lilipata jina la baba wa  Jenerali Mugisha Muntu aliyekuwa rafiki wa dhati wa rais Milton Obote Enock Ruzima Muntuyera.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.