kwamamaza 7

Uganda:Wakimbizi wawili wanaofikiriwa kuwa Wanyarwanda wauawa

0

Polisi ya eneo la Isingiro,kusini mwa Uganda inawinda kundi la watu walioshambulia kambi ya wakimbizi ya Nakivala saa tatu usiku wiki iliyopita na kuwaua watu wawili ambao majina yao yanaonekana kuwa ni ya Wanyarwanda.

Malehemu ni Augustin Muhizi, 45 aliyekuwa mfanyabiashara na Ishimwe Cyuzuzo Deo, 16.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Msemaji wa polisi ya eneo la Rwizi,Samson Kasasira ametangazia Chimpreports walikuwa wizi kwa kuwa walikuja wakiomba fedha.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Malehemu Muhizi alipigwa risasi kifuani kwa kugoma kutoa fedha kisha wizi wakazipata fedha zake miliyoni shilingi 38 na kujeruhi watu wanne waliopelekwa kwenye hospitali ya Mbarara.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Polisi ya Uganda imeleza kuwa mmoja mwa wanaotuhumiwa mauaji haya amekamatwa na upelelezi na kuwa wametilia mkazo wa kulinda kambi hii kwa kutumia FFU.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.