kwamamaza 7

Uganda:Wakimbizi asili ya Rwanda kujulisha bunge suala la kutekwa nyara na walinzi wa usalama wa Rwanda

0

Wakimbizi asili ya Rwanda hivi leo jummatano wanatarajia kujulisha bunge la Uganda suala la kutekwa nyara na walinzi wa usalama wa Rwanda.

Kunatarajiwa kuwa wakimbizi hawa na wakilishi wao watamkuta mkurugenzi makamu wa bunge,Jacob Oulanyah saa tatu asubuhi.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Kwa mjibu wa taarifa za Chimpreports  baadhi ya wakimbizi hawa kuna wajane wawili;mmoja kutoka kambi ya wakimbizi ya Nakivale na mwingine kutoka kambi ya wakimbizi ya Kyakamu wanaosema kuwa wanaume zao waliualiwa nchini Rwanda.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Haya ni baada ya polisi wa Uganda wanne na Mnyarwanda mmoja,Rene Rutagungira kusimama kizimbani kutokana na kumteka nyara mkimbizi aliyekuwa mlinzi wa Rais Kagame,Luteni Joel Mutabazi.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.