kwamamaza 7

Uganda:Wakimbizi asili ya Rwanda 21 waliuawa

0

Wakimbizi asili ya Rwanda wanaoishi nchini Uganda hasa katika kambi ya Wakimbizi ya Nakivale wilayani Isingiro wameweka wazi kuwa wenzao 21 waliuawa mwaka 2010.

Hizi ni taarifa zilizojulikana sita mwa hawa wakimbizi walipokuenda  kutoa ombi bungeni kuhusu suala la maisha yao kuwa hatarini  kutokana na wanaowaita wanausalama wa Rwanda wanaowateka nyara kwa msaada wa polisi nchini Uganda.

Taarifa za Softpower ni kwamba waliokufa walikuwa wakazi wa kambi ya Nakivale,magharibi kusini mwa nchi ambao waliuawa kiunyama na maafisa wa polisi ya Uganda.

Taarifa zinaendelea kueleza kuwa  wakazi wa eneo la Rangi  asili ya Rwanda walimuomba Rais wa Uganda,Kaguta Museveni kumkamata afisa mkuu wa Polisi kwa jina la Joel Aguma wiki iliyopita wakimshtaki kushiriki katika mambo ya kuwatesa Wanyarwanda.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Pamoja na haya,kuna taarifa kwamba Wanyarwanda hutoweka mala kwa mala nchini Kenya,Zambia,Afrika Kusini,Msumbiji,Ubelgiji na hata huko Wingereza.

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.