kwamamaza 7

Uganda:Operesheni kwa uongozi wa bin Rais Museveni wagunduwa silaha na mabomu kaskazini mwa nchi

0

Kundi la wanajeshi wa upelelezi kwa uongozi wa bin Rais Museveni,Major General Muhoozi Kainerugaba kwa ushirikiano na kikosi cha 4 na 5 cha wanajeshi wa Uganda,UPDF,pia na polisi nchini Uganda wamegundua silaha ya  aina ya AK-47,sare za kijeshi na mabomu katika msako uliotokea wilaya za kaskazini:Pader,Otuke na Soroti.

vifaa vya kijeshi vilivyogunduliwa kupitia msako

Msemaji wa wanajeshi kwa shughuli maalum,Major Chris Magezi ameleza kuwa shghuli hii ilikuwa ikiongozwa na Major General Muhoozi Kainerugaba,bin Rais Museveni kwenye mwisho wa wiki hii.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Magezi ameleza kuwa silaha na jozi ya sare za kijeshi iligunduliwa wilaya ya Soroti,grunedi mbili  2,mabomu mawili kwa aina ya 60mm zilipatikana wilaya ya Otuke.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Vifaa vya wanajeshi vimegunduliwa baada ya mapambano kati ya serikali na wanamgambo wa LRA mwaka 2006 eneo la Teso.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Kwa mjibu wa taarifa za Chimpreports,siku hizi eneo hili linatuhumiwa kumiliki silaha na mabomu kinyume na sheria,jambo ambalo ni kikwazo kwa usalama wa wakazi.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.