kwamamaza 7

Uganda:Ofisi ya uplelezi yashtakiwa kumtesa kimwili aliyemteka nyara aliyekuwa mlinzi wa Rais Kagam

0

Mwanamke wa Rene Rutagungira,Hyacinthe Dusengeyezu ametangazia vyombo vya habari kuwa ameshtakia mahakama kuu ya Uganda akidai kuwa mwanamume wake,anayetuhimiwa kumteka nyara aliyekuwa mlinzi wa Rais Kagame,Luteni Joel Mutabazi amefungwa kinyume na sheria.

Mwanamke huyu amendelea akisema kuwa ameamua kushtaki baada ya kujua kwamba mwanamume wake alikamatwa na ofisa wa upelelezi(CMI) kwa jina la Agaba.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Mahakama imeamua kumleta Rutagungira hata ikiwa ni maiti yake kwa kuwa kuna taarifa kwamba aliuawa kwa kujua iwapo amefungwa kinyume na sheria.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Taarifa za KTPress,asili ya taarifa hizi zinasema kuwa kuwa jeshi la Uganda kupitia barua aliyoandika mkurugenzi wa tawi la upelelezi usio wa kawaida,Lt.Col Augustin Bwegeendaho alieleza kuwa Capt.Agaba hana uhusiano wowote na kisa cha Rutagungira.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Pamoja na haya,Rutagungira alionekana hadharani akipelekwa mahakama ya kijeshi,eneo la Makindye na kuwa mwanasheria wa Rutagungira na wenzake nane,Caleb Alaka alitangaza kuwa wateja wake waliteswa kimwili hata kama hakueleza mengi husika,madai yaliyosisitizwa na mtu aliyemuona Rutagungira.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Kuna taarifa kuwa Rutagungira alikamatwa alipokuwa mgahawani mjini Kampala kama inavyonyeshwa na Kamera lakini uongozi wa Uganda umeleza kuwa haujui aliko Rutagungira.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.