Swahili
Home » Uganda:Muimbaji Mahiri  Mowzey Radio  afariki
HABARI MPYA

Uganda:Muimbaji Mahiri  Mowzey Radio  afariki

Mwanamziki kutoka nchini Uganda, Moses Ssekibogo Nakitinje, maarufu kama  Mowzey Radio  wa kundi la Goodlyfe ameaga dunia.

Taarifa za vyombo vya habari  nchini Uganda zimezagaa kwamba  rafiki yake Mr Balaam Barugahare,  ametangaza kamba Radio amefariki leo saa kumi na mbili  asubuhi.

[xyz-ihs snippet=”google-pub”]

Muimbaji Radio amafariki kwenye hospiatli ya Case mjini Kampala.Huyu msaani alipata kitanda baada ya kupigwa alipokuwa baani De Bar eneo la Entebbe wiki iliyopita.

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

 

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com