Swahili
Home » Uganda:Diwani wa mji wa Kamapala akamatwa
HABARI SIASA

Uganda:Diwani wa mji wa Kamapala akamatwa

Diwani wa mji wa Kampala(mwenye kitambaa chekundu kichwani)

Diwani wa mji wa Kampala,Elias Lukwago amekamatwa na polisi nyumbani kwake eneo la Wakaliga,Rubaga na kupelekwa mahali ambapo hapajatambulika.

Diwani wa mji wa Kampala(mwenye kitambaa chekundu kichwani)

Hiki ni kitendo cha askari polisi wengi waliokuwa wakiongozwa na DPC wa kito cha Polisi cha Old Kampala,Grace Nyangoma.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Haya ni baada ya Lukwago kushtaki serikali kuwa imefanya nyumbani kwake kuwa kama kituo cha polisi kwa kuwa alikuwa amezungukwa na wanajeshi popote.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Taarifa za The monitor zimeleza kwamba Diwani Lukwago ameleza kuwa haya yote ni kwa kuwa anampinga mradi wa kubadilisha katiba ya nchi hasa kifungu cha 102 husika na umri wa rais.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Hatutakubalia Rais Museveni kubadili katiba atakavyo,hili ni ishara ya kuwa amefyata mkia,hatuna budi kupambana na kutojali huku”amesema Diwani Lukwago.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Kwa upande mwingine,Kiongozi wa kituo cha polisi amefafanua kwamba hana tatizo lolote na Lukwago na kuwa yeye anachokifanya ni kumzuia kujiunga na wandamanaji.

Tumekuja hapa ili asizushe ghasia”ameleza Nyangoma.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

 

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com