kwamamaza 7

Uganda:Bin Rujugiro alindwa kwa ulinzi mkali

0

Bin Rujugiro kwa jina la Richard Rujugiro analindwa kwa ulinzi mkali hasa anapotembelea kiwanda cha sigara eneo la Arua,kaskazini mwa Uganda.

Taarifa za The standard zinasema kuwa Richard Rujugiro na binamu ya baba yake,Claude Ndatinya wanalindwa mno hususani wakiwa kwenye hoteli kubwa iliyoko mjini mdogo wa Arua.

Wakazi wa eneo hili walitangazia The Standard kwamba wanashangaa kuona namna ambavyo ulinzi mkali unaokuwepo wakati ambapo Richard Rujugiro anakuja eneo hili.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Pia Richard Rujugiro ni mtoto wa pili wa Rujugiro na  mmoja mwa wana wa tajiri Rujugiro waminifu, kwa hiyo serikali ya Uganda hufanya juu chini kumlinda.

Tajiri Ayabatwa Tribert Rujugiro  ni mmoja mwa wekezaji wakubwa nchini Uganda baada ya kukimbia nchini Rwanda mnamo mwaka 2009.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.