kwamamaza 7

Uganda yafunguka kuhusu kisa cha Mnyarwanda Fidele Gatsinzi husika na kuteswa kimwili

0

Msemaji wa jeshi la Uganda Brig.Richard Karemire ametangaza kuwa kuna mbinu za kujadili  suala la kutekwa nyara na kuteswa kimwili kwa Mnyarwwanda Fidele Gatsinzi.

Akizungumza na Chimpreports,Brig.Richard Karemire ameleza kuwa jambo hili litajadiliwa vilivyo kwa kutumia mbinu za kawaida.

Pamoja na haya, Katibu mkuu wa wizara ya mambo ya nje,Amb.Patrick Mugoya alitangaza kuwa jambo hili halitaharibu ushirikiano wa Rwanda na Uganda.

Msemaji wa jeshi ametangaza haya wakati ambapo Fidele Gatsinzi alieleza kwamba waliomtesa kimwili ni mafisa wa upelelezi(CMI).

[xyz-ihs snippet=”google”]

Hili ni baada ya serikali ya Rwanda kuiomba serikali ya Uganda kueleza kwa mapana na marefu kuhusu vitendo vya kuwateka nyara  Wanyarwanda nchini Uganda.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.