Mwishoni mwa wiki nenda wapiganaji wapatao 40 wa M23 walifikishwa mahakani ya wilaya ya Kabale nchini Uganda wakiwashutumu kuingia na silaya wakitoka misituni Congo.

Kiongozi wa mahakama, Moses Kagoda Ntende alisema ya kuwa wapiganaji hao walitiwa mbaroni wakiwa Uganda, walivukia mpaka wa Busanza ulio kati ya Uganda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

Wapigananji hao walikamatwa wakati jeshi la Uganda lilikuwa limesema ya kwamba hawataki uzoefu wa wapiganaji hao wanao kimbilia Uganda tena wanatoroka.

Tangazo hilo lilitolewa baada ya wapiganaji kupigwa na jeshi la Congo na wakakimbilia Uganda, ila baada ya siki chache wakatoroka na kurudi misituni Congo Kupigana.

Mwendesha mashtaka mkuu, Batson Baguma aliambia mahakama ya kuwa tarehe 22 Februari 2017, askari Capt. John Rutamu, Capt. Eric na wengine wa M23 karibu 38 walitiwa mbaroni wakiwa Uganda sehemu iitwayo Busanza wakiwa na silaha zao kama vile husema Chimpreports.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Serikali ya Uganda inashutumu wapiganaji hao kutembea kiolela Uganda na kutia sura mbaya ya kuwa wanaweka waharibifu.

Wapiganaji hao waliwakutwa wengine 9 walio hukumiwa kufungwa miaka mbili.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.