kwamamaza 7

Uganda: Wanafunzi kutoka Rwanda waliotoweka wapatikana

0

Wanafunzi wawili wa shule Kabale Adventsit Parents School kutoka Rwanda kwa majina ya Vincent Isingizwe wa kidato cha pili  na Sabato Mugisha wa kidato cha nne waliokosekana wiki ijuma waiki iliyopita wamepatikana jana eneo la Kitumba kwenye barabara  la Kabale-Katuna.

Mkurugenzi wa shule hili, Felly Byobusingye  amehakikisha habari hizi kuwa hawa watoto wamepatikana wakielekea kwao nchini Rwanda.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Mkurugenzi ametangazia Chimpreports kuwa hawa wanafunzi wamerudishwa shuleni.

Kwa upande mwingine,huyu kiongozi hakueleza jambo lililowasababisha hawa wanafunzi kutoroka shule lao.

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

click here to receive the updated news on facebook on twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

[xyz-ihs snippet=”google”]

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.