kwamamaza 7

Uganda: Wakimbizi 39 asili ya Rwanda waliokamatwa kwa kujiunga na Jen. Kayumba Nyamwasa waachiwa huru

0

Mahakama Kuu mjini Mbarara imewaachia huru Wakimbizi asili ya Rwanda waliokuwa wakishtakiwa kujiunga na jeshi la chama cha Jen. Kale Kayihura, jambo ambalo ni kinyume na sheria husika na ukimbizi.

Walioachiwa huru  ni miongoni mwa vijana  46  waliokamatwa tarehe 12 Disemba 2017 kwenye mpaka wa Burundi na Tanzania, Kikagati.

Baadhi yao walisema kwamba walikuwa wakielekea eneo la Minembwe, nchini DR Congo kupitia Burundi kwa ajili ya mazoezi ya kijeshi ya chama cha upinzani kwa Rwanda, Rwanda Bational Congress(RNC).

Kuna taarifa kwamba hawa wanasajiliwa na DK. Ruvuma, Musoni Jeffrey, Bijura Moses, Felix Mwizerwa.

Taarifa ambazo hazijahakikishwa ni kwamba jaji alijadiliana na upande wa RNC kuwaachia huru na kuwa wengi mwa hawa wataendelea na shughuli zao za kuenda nchini DR Congo wiki mbili zijazo.

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.