kwamamaza 7

Uganda: Wake 2 wenye uraia wa Uchina wameuawa Kampala

0

Polisi nchini Uganda wanao husika na upelelezi wameanza uchunguzi ili kujua ni nini chanzo cha kifo cha hawa wanawake wawili wenye uraia wa Uchina ambao waliuawa mjini Kampala.

Polisi ya Uganda wamesema ya kuwa maiti yao wawili waliikuta ndani ya nyumba moja mjini Kampala kama vile husema gazeti la Chimpreports.

Msemaji wa polisi, Andrew Felix Kaweesi amewaambia wana habari ya kuwa saa za usoni atawapa taarifa kuhusu kifo hicho kwenye stesheni ya polisi ya Kikoni.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Mauaji ya hawa wake wawili yalitisha sana wakaaji kwa kuwa yanalinganishwa na yalio mfikia mfanya biashara mwenye uraia wa Eritrea, na husemwa ya kuwa aliuliwa na watu wenye kuhusika na usalama Uganda.

Marehemu hao walikuwa wakiishi sehemu ijulikanayo kwa jina la Kikoni karibu ya chuo kikuu cha Makelele.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.