Jana tarehe 8 Februari 2017, polisi ya Uganda ilipambana na mapigano makali kati ya wakaaji wa Nakivale sehemu ya Rugaga panapo kuwa kambi ya wakimbizi kimataifa.

Wakaaji walishambulia kambi ya wakimbizi na kuharibu kila kitu, wakiwashutumu kuchukuwa udongo wao na kufanya wanavyotaka na udongo ni wa wakaaji wa mahali.

Wakati polisi ilipo kuja kutowa msaada, wakaaji waliwarushia mawe na magogo ila polisi ikatumia risasi ya pumzi inayo washa usoni ili kuwatawanya.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Taarifa husema kuwa wachache walijeruhiwa kwa hali isiyo mbaya na viongozi wa sehemu hio walitiwa mbaroni.

Mapigano hayo yalitokana na wakimbizi wamoja wanao kwenda katika mashamba ya wakaaji na kuanza kufanya wapendavyo bila kuruhusiwa, na ndipo wakaaji waliingia katika kambi na kuanza kuharibu vifaa vyao na kufunga barabara ya mahali hapo.

Kambi ya Nakivale ina ujumla ya wakimbizi zaidi ya elfu 60, na wengi wakiwa kutoka Burundi na DRC hata mahali pengine.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.