kwamamaza 7

Uganda: Rais Museveni ameongea na UN kuhusu swala la M23

0

Mtume malumu wa umoja wa mataifa katika maziwa  makuu, Said Djinnit ilitarajiwa juma inne kuonana na rais wa Uganda Musevini ila hakuna lililo tangazwa kuhusu maongezi yao, ijapo kuwa anakuja wakati husemwa kuwa wapiganaji wa M23 kujiunga ili kuzua mapigano Congo.

Gazeti la Chimpreports husema kuwa viongozi wa UN wanahitaji kuhamasishwa kwamba wapiganaji wa M23 hawataingia katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo tena.

Maelfu ya wapiganaji wa      M23 ambao walikua katika kambi la Bihanga nchi Uganda walitoroka wengine wao wakakamatiwa Mbarara na wahusika wa usalama, na kuwaweka kati kambi la jeshi la Makenke mjini Mbarara.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Wapiganaji wa M23 husemwa kuwa wanahitaji kuingia katika mambo ya siasa tena kwa sababu rais Kabila hakupenda kuachilia utawala, ndio sababu wataingia katika siasa tena ya nchi.

Wapiganaji hao hushutumu viongozi wa Congo kutoheshimu haki za binadamu, mfano rushwa na kutojali wakaaji wa Kivu. Kuzua mapigano kwa wapiganaji wa M23 ni swala kubwa kuhusu serikali ya Congo.

Wapiganaji hao waliwai ongoza sehemu kubwa ya Kivu ya Kasikazini hata mji wa Goma, ila kaamuriwa na viongozi wa mahari pakiwemo rais Kagame na Museveni kurejea katika kambi zao sehemu ya Bunagana.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[xyz-ihs snippet=”google”]

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.