Msemaji wa polisi nchini Uganda, AIGP Felix Andrew Kaweesi alifietuliwa lisasi karibu meta 100 akitoka kwake wakati watu wenye silaya walishambuliya gari lake, aliuawa akiwa pamoja na wengine maofisa wawili.

Alipigwa lisasi jana tarehe 16 Mach 2017 jioni sehemu iljulikanayo kwa jina la Kulambiro mjini Kampala kama vile husema gazeti la chimpreport, na huendelea na kusema jamii yake huhakikisha kifo hicho ila wanasema ya kuwa bado kujuwa wahusika na mauaji hayo.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Linda Nabusayi, katibu wa ofisi ya urais ya Uganda naye amehakikisha kifo hicho na anasema ya kuwa upelelezi hufanywa kwa ajili ya kujuwa wanao husika na maovu hayo.

Kabla taarifa kujulikana na walinzi wake kuhusu kifo cha msemaji wa polisi, gazeti daily monitor husema ya kuwa watu tatu ndio waliuawa na wangali wanakusanya taarifa kamili kuhusu hayo.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina