kwamamaza 7

Uganda: Mnyarwanda afungwa jela kwa kutuhumiwa kuwa mpelelezi

0

Mnyarwanda kwa majina ya Smith Oswald  Ndabarasa  ambaye ni mfanyakazi wa Kampuni ya usafirishaji, Trinity Bus Company.

Kwa mujibu wa Virungapost, Ndabarasa alikamatwa tarehe 23 Julai mwaka huu kwenye mpaka wa Rwanda na Uganda, Katuna.

Ndabarasa alikamtwa na kufungwa na afisa wa upelelezi Luteni Charlie Mugabi na mwenzake Mark Paul.

Ndabarasa alitangazia Vyombo vya habari kuwa lengo lilikuwa ni kutaka kutambua waliowahi kufanya kazi katika jeshi la Rwanda au Polisi.

Pengine Ndabarasa ameeleza walimuachia huru na kumuambia  kwamba hawataki Wanyarwanda nchini Uganda.

Huyu ameeleza hatarudi nchini Uganda kamwe kutokana na aliyoambiwa.

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.