kwamamaza 7

Uganda imewarejesha Rwanda raia 2 walio kimbia mahakama

0

Jana tarehe 21 Februari 2017, kwenye mpaka na nchi ya Uganda ujulikanao kwa jila la Gatuna, Polisi ya Rwanda imewapokea raia wawili walio toroka gereza na kukimbilia Uganda.

Walio rudishwa Rwanda ni Ndimubanzi Boniface mwenye umri wa miaka 58, aliyehamasishwa na mauaji ya Kimabari, akiwa pamoja na Ndikuryayo Valense mwenye umri wa miaka 31, alihamasishwa kosa la kutumia vitambulisho haramu vya udongo, walikamatwa kwa wakati tofauti baada ya vitambulisho vilivyo tolewa na Interpol Kigali.

Ndimubanzi alikuwa amehukumiwa kufungwa maisha na mahakama Gacaca ya kijiji cha Tovu, kata ya Kiyombe, wilaya Gatsibo, alitoroka gereza ya Nsinda, mwezi Februari 2012, alitoroka baada ya miaka tatu akiwa gerezani.

Alikamatwa akiwa sehemu ijulikanayo kwa jina la Cyenkwasi, wilaya ya Kiboga, aliishi hapo miaka 6 akifanya kazi za siku kwa siku.

Ndikuryayo Valense,  alikuwa akitafutiwa kuhusu utumiaji wa vitambulisho visivyo halali katika kata ya Kimironko, wilaya Gasabo, na alikamatwa akiwa katika wilaya Mubende.

Msemaji wa polisi ya Rwanda katika kitendo hicho, Assistant Commissioner of Police(ACP) Theos Badege alisema baada ya kuroka kwa watu hao, kupitia uwasiliano wa I-24/7,   Interpol Kigali ilitoa vikaratasi vya kuwatiya mbaroni na kupewa nchi 190 ambazo huunda Interpol.

Kitendo hiki kimefanyika kabla ya siku mbili pawe mkutano wa nchi hizi mbili utakao fanyika Kigali tarehe 24 Februari, na wakiwa na lengo la mawasiliano kati yao kwa ajili ya kupiganisha makosa yanayovuka mipaka.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[xyz-ihs snippet=”google”]

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.