kwamamaza 7

Uganda imehamasisha kuwapa ukimbizi raia wa Burundi

0

Badala ya ziara ya waziri wa mambo ya ndani Burundi Pascal Barandagiye nchini Uganda akiomba wakimbizi kurejea kwao, alikuwa na maongozi siku ya Ijuma katika ofisi ya waziri mkuu wa Uganda akiwa pamoja na waziri mwenye kuhusika na wakimbizi, Uganda ilitangaza ya kuwa hakuna hata mmoja akaye fukuzwa.

Taarifa hio husema ya kwamba Uganda itaendelea kuwapa ukimbizi raia wa Burundi hadi amani na usalama vipatikane na ndipo wataruhusiwa kurudi kwao wakifuatisha sheria ya kimataifa.

Kupitia hio sababu serikali ya Uganda imehamasishia warundi ya kuwa wakimbizi wote wenye kuishi Uganda watabaki hapo mpaka yaliyo wasukuma kukimbia yatakapo kwisha na watajereje katika usalama na heshma kama vile tangazo lilitiwa saini na Kazungu David Apollo, kamishina anayehusika na ukimbizi katika ofisi ya waziri mkuu husema.

refu

[xyz-ihs snippet=”google”]

Waziri anayehusika na mambo ya ndani Burundi akiwa na balozi wa Burundi Uganda walikua na maongezi na wakimbizi wapatao 34.705 wenye kuwa katika kambi ya Nakivale walisema ya kwamba wapo tayari kuwapokea warundi walio kimbia.

Waziri Barandagiye alihakikishia wakimbizi kuwa Burundi mambo ni sawa, akiwafasiriya ya kwamba yaliyofanyika mwaka wa 2015 yamekwisha na Warundi wanakwenda kujenga nchi yenye amani na usalama.

Aliomba viongozi wa HCR na serikali ya Uganda kuwasaidia wakimbizi wenye kuwa tayari kurudi kwao, alisema hakuna ataye kaziwa kurudi, ila sura ya ukimbizi wao ni wa muda kitambo.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.