Mahakama ya Uganda imeazibu askari polisi 9 azabu tofauti pakiwemo kunyanganywa daraja zao na kushushwa ngazi za kazi zao kwa ajili ya kuvamia mashabiki wa mpinzani wa serikali Dr Kizza Besigye.

Hapo ni jana tarehe 2 Februari 2017, waofisa wa polisi 9 na wenye kazi nzuri kwa polisi kama kuwa wakilishi wa wilaya, walifikishwa mbele ya mahakama wakishutumiwa uharibifu, kupiga mashabiki wa Dr Besigye Julai mwaka wa 2016.

Kiongozi wa mahakama ya Polisi, Denis Odongpiny, aliamua hivi : polisi Andrew Kaggwa aliyekuwa Senior Superintendent alishushwa na kubaki Superintendent, Patrick Muhumuza alikua Assistant Superintendent of Police akanyanganywa akawa Inspector of Police hao hawakufanya uwajibu wao wakati wa ugomvi huo wa kuvamia mashabiki wa Dr Besigye.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Wengine 6 waliazibiwa kupunguzwa mshahara wao kwa kipimo cha 1/3, mwengine mmoja alinyanganywa majukumu ya kazi ya polisi hadi miaka 20 na kuendelea kuchunguzwa akiwa nje, yeye alikua akihusika na kupiganisha makosa ya polisi.

Mahakama haina majukumu ya kumutosha katika kazi zake bila kurudi na kwa kuwa yeye alikua na daraja ya juu, ila mkutano wa polisi utaendelea kuchunguza kwa jicho na kuona yale ambayo anaweza kufanya kama kazi ndogo.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@bwiza.com

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.