kwamamaza 7

Uganda: Aliyekuwa mtangazaji atoweka baada ya kukosoa Rwanda na uganda

0

Aliyewahi kuwa mtangazaji wa The New Times,Sulah Nuwamanya ametoweka baada ya miezi michache akikosoa serikali ya Rwanda na Uganda pamoja na Jenerali Kale Kayihura kwa kutumia ukuta wake wa facebook.

Nuwamanya alikamatwa na watu ambao hawakutambulika baada ya kupigiwa simu na rafiki yake akimjulisha maisha yake yangali hatarini.

Taarifa za Chimpreports zinaeleza waliomkamata lengo lao lilikuwa kumnusuru na kuwa haijaeleweka waziwazi kama hili lililtokea mjini Kampala ama wilayani Luwero ambako Nuwamanya ni mkulima.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Mkurugenzi wa ofisi ya upelelezi wa jeshi wa Uganda (CMI) Brig.Jenerali Abel Kandiho ameeleza Nuwamanya si mfungwa wa ofisi yake.

“Hapana,hakuna Sulah”

[xyz-ihs snippet=”google”]

Kuna taarifa kwamba Nuwamanya aliacha kutumia simu za kisasa na gari la pekee kwa woga wa kuuawa na kuwa alijiunga na wapinzani wa serikali ya Rwanda ambao Rais Museveni alisema waaache kutumia Uganda katika mambo yao.

Nuwamanya ni mzazi wa watoto watatu na mtetezi wa mambo ya kisiasa nchini Uganda.Alihamia nchini Uganda hivi karibuni na kuanza mambo ya ukulima.

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

click here to receive the updated news on facebook on twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

[xyz-ihs snippet=”google”]

 

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.