kwamamaza 7

Ufaransa:Upelelezi husika na kuidungua ndege ya rais Habyarimana wamalizika

0

Hakimu kwa wajibu wa kujadili uhaifu wa vitendo vya ugaidi nchini Ufaransa wamemaliza upelelezi kuhusu kuidungua ndege ya Rais  Juvenal Habyarimana tarehe 6 Aprili 1994.

Watu husika na haki  leo wametangaza hili ila upelelezi huu ulizusha mgogoro kati ya Rwanda na Ufaransa baada yake kunyoshea kidole wanajeshi wa RPF kuidungua ndege aliyokuwemo Rais Habyarimana na mwenzake wa Burundi,Cyprien Ntaryamira.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Pia serikali ya Rwanda mala nyingi husikika ikishaki Ufaransa kushiriki katika mauaji ya kimbali dhidi ya Tutsi mwaka 1994, kisa kilichofuata kuidungua ndege hii.

Pamoja na haya,upelelezi umemalizika bila kusikiliza ushahidi wake,waziri wa ulinzi wa Rwanda,Jenerali James Kabarebe kuhusu kisa hiki kama alivyotaka mwendehsamashtaka,Jean-Marc Herbaut.

Asili:Dairymail

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.