Swahili
Home » Ufaransa:Uendesha mashtaka wanzisha kesi ya benki inayotuhumiwa kushiriki katika mauaji ya kimbali dhidi ya Tutsi
HABARI MPYA KIMATAIFA SHERIA SIASA

Ufaransa:Uendesha mashtaka wanzisha kesi ya benki inayotuhumiwa kushiriki katika mauaji ya kimbali dhidi ya Tutsi

Uendesha mashataka mjini Paris umeanzisha kesi ya benki kwa jina la BNP Paribas baada ya kushtakiwa na shilika tatu kushiriki katika mauaji ya kimbali dhidi ya Tutsi mwaka 1994 nchini Rwanda.

Tangazo la uendesha mashtaka kwenye France 24 kuhusu kesi hii

Mashilika haya yakiwemo Sherpa,CPCR na Ibuka yameshtaki benki hii kushiriki katika mauaji ya kimbali dhidi ya Tutsi mwaka 1994 kwa kuwa benki hii  kwa hiari ilitoa msaada wa fedha $ miliyoni 1.3 za kununua 80 t  za silaha zilizotumiwa katika mauaji ya kimbali dhidi ya Tutsi.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Spika wa benki BNP Paribas akizungumza na AFP,ameleza kwamba walisikia kupitia viombo vya habari kwamba walishtakiwa na kuwa hawajui mengi ya kutangaza kuhusu jambo hili.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com