kwamamaza 7

Ufaransa watakuwa wakifundisha kuhusu mauaji ya Kimbari shuleni

0

Rais François Hollande juma tatu tarrehe 24 April alianzisha wiki ya kufundisha kuhusu mauaji ya Kimbari katika shule za Ufaransa zote wakati walikuwa wakikumbuka mauaji ya Warumenia kwa mara ya 102 na Ufaransa ukishutumiwa na Rwanda kuhusika na mauaji ya Kimbari dhidi ya Watusi.

Rais Hollande alisema kila mwaka kutakuwepo wiki ya utafiti katika shule za Ufaransa dhidi ya mauaji ya Kimbari, makosa ya kuvamia binadamu na makosa ya uwingi.

Hollande anabaki na siku chache za urais wa Ufaransa, anasema hayo yatasaidia wanafunzi kutekeleza ubaya na ubovu uliofanyika katika mauaji ya Warumenia kama vile husema gazeti la « Le Monde ».

Hollande alisema ni lazima kukazia njia ya kuazibu wanao kuwa na itikadi ya mauaji ya Kimbari dhidi ya Warumenia kwa sababu sheria ya kuazibu katiliwa saini na bunge la Ufaransa mwaka 2016 na kutupiliwa mbali na constitution.

Ufaransa unakwenda kufundisha wanashule na kufanya utafiti kuhusu mauaji ya Kimbari na wakishutuiwa na Rwanda kuhusika na mauji ya Kimbari dhidi ya Watusi.

Ufaransa walipeleka wanajeshi wake Rwanda wakati ya mauaji ya Kimbari na kusaidia serikali ya siku hizo kwa ngambo ya kijeshi na kuwasaidia kukimbilia katika nchi iliyojulikana kwa jina la Zaire.

Mwezi Februari 2010 wakati rais Nicolas Sarkozy alifanya ziara yake Rwanda alikubali kama vile umoja wa mataifa vile na Ufaransa walifanya makosa kuhusu mauaji ya Kimbari Rwanda.

Vingozi wamoja wa Ufaransa wanakana kuhusika na mauaji ya Kimbari dhidi ya Watusi kama vile Alain Juppé alikuwa waziri wa uhusianao na mataifa wakati huo, Marine Le Pen anaye wania kuwa rais wa Ufaransa kwa sasa.

Merine Le Pen alisema kwamba jeshi la Ufaransa katika « Operation Turquoise » waliokoa maelfu ya watu kama vile husema « Front National ».

[xyz-ihs snippet=”google”]

Jeshi la Ufaransa katika Rwanda wanashutumiwa kuwafunza wauaji na kuachilia maelfu wa wengi walionyanyaswa sehemu ya Bisesero (Kibuye) pamoja na Murambi (Gikongoro) kuawa.

Utafiti wa mauajii ya Kimbari utafundishwa shuleni Ufaransa kila mwaka, ila wakati watakuwa wanafikia mauaji ya Kimabri dhidi ya Watusi Rwanda itakuwa muzigo mzito kwa sababu nchi yao hushotwa kidole na Rwanda.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@Leki

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.