kwamamaza 7

Ufaransa wamua kuficha siri za hati zenye vitendo vya Mitterand nchini Rwanda

0

Halmashauri ya kulinda na katiba na sheria nyingine nchini Ufaransa imepiga marufuku ombi la mtafiti Francois Graner aliyekuwa akitaka kujua sababu gani Dominique Bertinotti alikana kuweka hadharani hati zinazonyesha vitendo vya rais Francois Mitterand ili kujua ushiriki wake katika mauaji ya kimbali dhidi ya Tutsi mwaka 1994.

Mkurugenzi wa halmashuri ya kulinda katiba na sheria nyingine nchini Ufaransa,Laurent Fabius

Kwa mujibu wa taarifa za Jeune Afrique, mtafiti Graner anataka serikali iweke wazi hati hizi kwa kuwa ilichokifanya serikali ilipomteua mlinzi wa hati zenye manufaa ya umma ni kinyume na sheria.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Pamoja na haya,halmashauri inayongozwa na Laurent Fabius imetangaza kuwa mbunge ndiye mtu peke anayerukhusiwa upatikanaji wa hati hizi na kuwa ombi lake halina uhusiano wowote na uhuru wa kujieleza.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.