kwamamaza 7

Ufaransa: Padri mwenye asili ya Rwanda amevamiwa na jambazi wenye silaha

0

Rutumbu Juvenal ni padri raia wa Rwanda ambaye huishi Ufaransa, alivamiwa na majambazi wawili ambao walikua wamefunga nyuso zao wakiwa na silaha, walimpiga na kupora vifaa vyake.

Padri Rutumbu mwenye umri wa miaka 62 aliwayi kuwa kiongozi mwakilishi wa kituo kikuu cya mapadri Nyakibanda katika wilaya ya Huye, kwa sasa anayaongoza maparokia ya Palaiseau pamoja na Saint Michel du Pileu huko Ufaransa.

[xyz-ihs snippet=”google-pub”]

Aendelea na kusema kwamba juma tano wiki nenda hao majambazi wawili walimufikia kwenye chumba chake kwenye parokia wakamuonyesha silaha na kusema kwamba wanafahamu kama ana pesa nyingi yeye ni tajiri na kupigwa usoni na kumuazimu kupiga magoti chini, alipigwa na kufungwa na kamba ya kazu yake ya ibada kama vile husema gazeti la  “France soir”.

Padiri Juvenal aendelea na kusema kwamba walimuzungusha vyumba vyote wakisaka, ila walipata Euro 150 kwani ndizo alikuwa nazo peke kwa mafanikio ya vitabu alivyo viujisha, kabla ya dakika chache walipo ondoka ndipo alijiviringita ili apate kujifungua kamba na yeye husema kwamba ma padri huishi mahali pazuri ila hawana pesa.

Alizunguka nyuma akapiga yowe pamoja na wajirani wa parokia ndipo polisi ikaja, kwa bahati nzuri walikuta hakuna kitu kingine walicho kitwala.

[xyz-ihs snippet=”google-pub”]

Katika ibada ya juma pili ndio padre alifasiria wakristo yaliyo mupata kwani waliona sura yake ikivimba, na aliwaambia kwamba siku hivi majambazi wameanza kuvamia Ufaransa pia bila kuwaacha mapadri.

Kwa kumalizia yeye husema alizania kwanza ni wanamgambo wa kiislamu kwani katika nchi hiyo ya Ufaransa katika parokia ya Saint – Etienne du Rouvray siku nenda padre aliuawa.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.