Swahili
Home » Ufaransa inaendelea vitendo vya kukanusha mauaji ya kimbali-Dkt Bizimana
HABARI MPYA KIMATAIFA

Ufaransa inaendelea vitendo vya kukanusha mauaji ya kimbali-Dkt Bizimana

Tume kuu ya kupambana na mauaji ya kimbali,CNLG,imepiga marufuku mashtaka ya serikali ya Ufaransa husika na kuanguka kwa eropleni ya Rais Juvenal Habyarimana kwa kusema kuwa haya ni lengo la kukanusha mauaji ya kimbali dhidi ya Tutsi mwaka 1994.

Tume hii imekana madai yanayosema kwamba baadhi ya viongozi wa serikali nchini Rwanda walishilikia katika mpango wa kuangusha eropleni aliyokuwemo Rais Habyarimana tarehe 06 Aprili mwaka 1994

[xyz-ihs snippet=”google”]

Kiongozi wa CNLG,Dkt.Jean Damascene Bizimana ameleza kuwa Ufaransa inachokifanya ni kupinga mauaji ya kimbali dhidi ya Tutsi kwa kutoa sababu zisizo na thamani kwani mauaji ya kimbali nchini Rwanda yaliandaliwa kabla ya eropleni kuanguka.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Mala nyingine serikali ilikana mashtaka ya serikali ya Ufaransa kwa kueleza kwamba Wafaransa wanajisahaulisha ushiriki wao katika mauaji ya kimbali dhidi ya Tutsi 1994 kwa kutoa msaada kwa serikali iliyoandalia na kutia kivitendo mauaji ya kimbali dhidi ya Tutsi mwaka.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com