Swahili
Home » Uchoyo,pombe na kujiua:matokeo ya utafiti kuhusu Wanyarwanda
HABARI HABARI MPYA

Uchoyo,pombe na kujiua:matokeo ya utafiti kuhusu Wanyarwanda

Shirika la CAF (Charity Aid Foundation) kupitia utafiti limeonyesha kwamba Rwanda inapatikana kwenye nafasi ya 101 mwa nchi 139 na alama 26% za watu wenye uchoyo.Pengine Shilika la Afya Duniani limeonyesha kuwa kila Mnyarwanda hunywa lita  11.5  ya pombe kila mwaka na kuwa watu tisa mwa watu 100.000 hujiua kila mwaka.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Nchi ya Rwanda na Uganda zinajitokeza baadhi ya nchi tano mwa Afrika zenye wanywaji pombe wakubwa kwa kuwa zinakunywa lita 12 kiasi ambacho ni mala mbili na wastani wa pombe watu wanayokunywa dunia nzima.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Hii ni orodha ya nchi zinazokunywa pombe kuzidi nyingine mwa Afrika mashariki:

[xyz-ihs snippet=”google”]

Uganda(lita 11.8),Rwanda(lita 11.5),Burindi(lita 6.9),Tanzaniya(6.3),Kenya(lita 4.4)RD Congo(lita 3).

[xyz-ihs snippet=”google”]

Pia,kuhusu uchoyo Burundi haikufanyiwa utafiti lakini Rwanda inaonekana mbele ya RD Congo tu.Hii ni orodha ya nchi za Afrika mashariki:Kenya inaonekana kwenye nafasi ya tatu duniani na alama 60%,Uganda nafasi 22 ikiwa na alama 44%,Tanzania nafasi 63 ikiwa na alama 34%, Rwanda nafasi 101 ikiwa na alama 26% kisha RD Congo na alama 19%

[xyz-ihs snippet=”google”]

Pengine kuhusu visa vya kuijiua,Hii ni orodha ya nchi za Afrika mashariki:RD Congo(9.8/100.000),Rwanda(8.5/100.000),Burundi(8/100.000),Uganda(7.1/100.000),Tanzaniya(7/100.000) kisha Kenya(6.5/100.000).

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com