kwamamaza 7

Uchaguzi wa Rais Gambia utarudiliwa

0

[ad id=”72″]

Aliyekuwa rais wa Gambia alikua amekubali watokeo ya uchaguzi kwa sasa asema tena hakubali yaliyotokea kwenye uchaguzi na kusema kwamba yeye hakushindwa.

Hata kama  inasemwa hivyo rais mupya wa Gambia Rais Jammeh anakubali na kusema uchaguzu urudiwe tena kwani kura zilihesabiwa vibaya.

Huko Banjul mji mkuu, ubalozi wa Marekani, ametoa uwito na kusema sherti wanajeshi watii matakwa ya raia wa Gambia.

Na ripoti huendelea na kusema kwamba wanajeshi wameweka vizuizi sehemu tofauti vijijini.

Kama vile husema Serikali ya nchi jirani “Senegal” yaomba rais Jammeh kukabidhi madaraka kwa mshindi kwa njia ya amani.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[ad id=”72″]

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.