Swahili
Home » Uchaguzi nchini Rwanda haukua huru ama sahihi-Barozi wa Uingereza,William Gelling
HABARI MPYA SIASA

Uchaguzi nchini Rwanda haukua huru ama sahihi-Barozi wa Uingereza,William Gelling

Waziri wa Uingereza nchini Rwanda

Barozi wa Uingereza nchini  Rwanda,William Gelling ametangaza kwamba uchaguzi wa Rais nchini Rwanda haukua huru wala sahihi.

Waziri wa Uingereza nchini Rwanda,William Gelling

Kupitia tangazo lake la Ijumaa,Gelling ametangaza kwamba  yeye mwenyewe ni shahidi wa machafuko yaliyoweza kudhoofisha uchaguzi huu wa Rais uliotokea tarehe 04 Agosti 2017.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Nimeona machafuko wakati wa kuhesabu na kuorodhesha kura”Amesema barozi  William Gelling.

Pia ameongeza kuwa anajua kwamba Tume la Uchaguzi(NEC) ina nia ya kuboresha mfumo wa kazi zake na kuwa anafikiri kwamba tukio hili ni fursa nzuri ya kujikosoa ili uchaguzi wa mabunge mwaka 2018 ufanyike vilivyo.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Kwa upande mwingine,Katibu Mtendaji wa Tume ya Uchaguzi,Charles Munyaneza ameyakana madai haya kwa kufafanua kwamba Wiliam Gelling hakuwasilisha madai haya kwenye Tume la Uchaguzi kwa ufuatiliaji na uchunguzi.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Kwa mjibu wa taarifa za The East African,Charles Munyaneza ameongeza kwamba waliongea na mabarozi mbalimbali na kujadili kuhusu madai haya lakini mabarozi hawakubainisha.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Pengine,William Gelling amesisitiza kuwa alihamasishwa na  kuchunguza kwa mapana na malefu kuhusu taarifa za viombo vya habari husika na mambo yaliyokuwa yakiwasumbua wagombea wa upinzani ili kuona mbinu za serikali ilivyojadiliana nayo.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Mimi nina wasiwasi za ukosefu wa usahihi katika kujiandikisha kulikowezesha wagombea Fulani kuwania uchaguzi wa Rais na kuwa yanamhusu kukamatwa kwa wapinzani maalum”Amehoji Gelling.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Barozi wa Uingereza nchini Rwanda ametangaza haya baada ya mwezi mmoja Tume ya Uchaguzi nchini Rwanda kutangaza matokeo ya uchaguzi wa Rais ambao Rais Kagame alikuwa mshindi  akiwa na kura 98.76%.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

 

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com